Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu nchini TTCL wakijumuika kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo wafanya kazi hawo walikuwa wakiungana na watu wote duniani kuadhimisha siku hiyo ambapo wamewaomba wananchi kuwa na moyo wa kufanya usafi katika maeneo yanayowazunguka na kuto tupa takataka ovyo TTCL ina azimisha siku hiyo kwa kaulimbiu yao ya 'TTCL  huleta watu karibu'
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu nchini TTCL wakijumuika kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu nchini TTCL wakijumuika kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo.

BAAZI YA MAOFISA WA TTCL WAKIWA NA MAFAGIO KWA AJILI YA KUSAFISHA MAZINGIRA YA MAENEO YA HOSPITALI YA TAIFA.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2013

    sasa mbona wanasafisha sehemu safi si waende vingunguti?

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2013

    Swala la mazingira ni nyeti na kwa umuhimu wake liwemo katika mchakato wa kuingizwa katika katiba Aidha iundwe sera ya mazingira ambapo moja ya inshu iwe ushiriki wa siku ya mazingira iwe ni lazima na wadau hususan taasisi za serikali na binafsi watu binafsi kata, vijiji nk wafanye jambo ambalo msimu ujao litakaguliwa km kupanda miti kuzunguka maeneo yetu! Bila hivyo itakuwa kuishia kufagia tu!

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2013

    Ungeunganisha kwamba leo ni Siku ya Mazingira Duniani - kila tarehe 5 Juni huwa inasherehekewa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 06, 2013

    Isingekuwa vema zaidi kama wao watumushi wa Muhimbili wangefanya usafi?

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 06, 2013

    Mbona kama wamepakuta pasafi uchafu wanaofagia mbona hauonekani

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 06, 2013

    It is funny!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 06, 2013

    kasafisheni vyoo na mabafu wodini ndio tutajua mmedhamiria kufanya usafi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...