Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu nchini TTCL wakijumuika kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. |
Baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya simu nchini TTCL wakijumuika kufanya usafi wa mazingira katika Hospitali ya Taifa Muhimbili leo. |
BAAZI YA MAOFISA WA TTCL WAKIWA NA MAFAGIO KWA AJILI YA KUSAFISHA MAZINGIRA YA MAENEO YA HOSPITALI YA TAIFA. |
sasa mbona wanasafisha sehemu safi si waende vingunguti?
ReplyDeleteSwala la mazingira ni nyeti na kwa umuhimu wake liwemo katika mchakato wa kuingizwa katika katiba Aidha iundwe sera ya mazingira ambapo moja ya inshu iwe ushiriki wa siku ya mazingira iwe ni lazima na wadau hususan taasisi za serikali na binafsi watu binafsi kata, vijiji nk wafanye jambo ambalo msimu ujao litakaguliwa km kupanda miti kuzunguka maeneo yetu! Bila hivyo itakuwa kuishia kufagia tu!
ReplyDeleteUngeunganisha kwamba leo ni Siku ya Mazingira Duniani - kila tarehe 5 Juni huwa inasherehekewa
ReplyDeleteIsingekuwa vema zaidi kama wao watumushi wa Muhimbili wangefanya usafi?
ReplyDeleteMbona kama wamepakuta pasafi uchafu wanaofagia mbona hauonekani
ReplyDeleteIt is funny!
ReplyDeletekasafisheni vyoo na mabafu wodini ndio tutajua mmedhamiria kufanya usafi
ReplyDelete