Katibu Mtendaji mpya wa SADC Dr.Stergomena Tax akila kiapo mbele ya jaji mkuu wa Malawi Mhe. Anastazia Msoza wakati wa mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC uliofanyika jijini Lilongwe, Malawi, leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera Dr ukatuwakilishe vyema.

    Mungu akusaidie uzidishe mafanikio.

    ReplyDelete
  2. Hongera sana Doc!!.Mwenye Education History ya huyu Mama please.??Ni zao la Chuo vikuu vyetu au??

    David V

    ReplyDelete
  3. Hongera sana Dr.
    Mungu akutangulie katika kazi zako.

    ReplyDelete
  4. Sehemu ya CV yake...Amewahi kufanya kazi for almost 5 years kwenye Think Tank kubwa Tanzania...ECONOMIC AND SOCIAL RESEARCH FOUNDATION (ESRF)....

    ReplyDelete
  5. Kamwelezeni Raisi wa Malawi Joyce Banda kwamba Tanzania ni Nyundo Kubwa ya Chuma!

    Aondoe vodole vyake chini haraka ama sivyo Nyundo ikishuka vidole vyake vitakuwa chapati!

    Chezea Tanzania weye?

    ReplyDelete
  6. Dr. Tax kazi kwako Jahazi lipo Mkononi mwako sasa.

    Unatakiwa uibebe vyema dhamana na Bendera ya Tanzania kwa kumbana vilivyo Kizabi zabina Raisi wa Malawi Joyce Banda, kama ktk Timu iliyoteuliwa namba tumeipata kwa nini tusiitumie kwa MASLAHI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...