Home
Unlabelled
Katibu Mtendaji mpya wa SADC Dr.Stergomena Tax ala kiapo leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hongera Dr ukatuwakilishe vyema.
ReplyDeleteMungu akusaidie uzidishe mafanikio.
Hongera sana Doc!!.Mwenye Education History ya huyu Mama please.??Ni zao la Chuo vikuu vyetu au??
ReplyDeleteDavid V
Hongera sana Dr.
ReplyDeleteMungu akutangulie katika kazi zako.
Sehemu ya CV yake...Amewahi kufanya kazi for almost 5 years kwenye Think Tank kubwa Tanzania...ECONOMIC AND SOCIAL RESEARCH FOUNDATION (ESRF)....
ReplyDeleteKamwelezeni Raisi wa Malawi Joyce Banda kwamba Tanzania ni Nyundo Kubwa ya Chuma!
ReplyDeleteAondoe vodole vyake chini haraka ama sivyo Nyundo ikishuka vidole vyake vitakuwa chapati!
Chezea Tanzania weye?
Dr. Tax kazi kwako Jahazi lipo Mkononi mwako sasa.
ReplyDeleteUnatakiwa uibebe vyema dhamana na Bendera ya Tanzania kwa kumbana vilivyo Kizabi zabina Raisi wa Malawi Joyce Banda, kama ktk Timu iliyoteuliwa namba tumeipata kwa nini tusiitumie kwa MASLAHI?