Baadhi ya wakimbiza mwenge wa kitaifa na askari wa Mkoa wa Dodoma na viongozi wao wakipasha mwili kabla ya kuukabidhi Mwenge wa Uhuru kwa viongozi wa mkoa wa Morogoro, Augosti 22, mwaka huu
Kikosi cha Sungusungu cha Tarafa ya Gairo kionesha umahili wake mapokezi ya Mwenge wa Uhuru.
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Kitaifa , Juma Ali Simai akinyosha mkono juu kuashiria kwa wananchi na viongozi wa Mkoa wa Dodoma na Morogoro kuwa yenye yupi fiti kuendelea na jukumu la kuukimbiza mwenge wa uhuru hadi siku ya kilele , kabla ya mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk Rehama Nchimbi , kumkabidhi mwezake wa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( hayupo pichani ) jana ( Augosti 22) baada ya kumaliza mbio zake Mkoa humo ,makabidhiano yaliyofanyika mpakani mwa Mikoa hiyo eneo la kijiji cha Ukwamani,katika Wilaya ya Gairo , ya mkoa wa Morogoro na Kongwa , Dodoma.
Mkimbiza Mwenge wa Uhuru Kitaifa akimshikisha Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mhe Joel Bendera kama Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa huo kabla ya kuukabidhi kwa DC wa Gairo
Mkuu wa Wilaya ya Chamwino, Mhe. Fatma Ally ( kulia) akiteta jambo na Mkuu wa Wilaya mwenzake wa Bahi, mkoani Dodoma, Mhe. Betty Mkwassa
Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mhe. Anthony Mtaka ( kulia) akipokea mwenge wa Uhuru sambamba na Viongozi wengine wa Serikali wa Mkoa wa Morogoro. Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii
Katika hii karne ya 21 nafikiri tunaweza kuja na a more sustainable development driven mwenge wa Uhuru. Tuupunguze wa kiserikali sana na kutoa fursa kwa watu binafsi na mashirika/ makampuni kuchangia kwa namna moja au nyingine. Inatakiwa Mwenge ukipita wakazi wote wawe wamehamasika. Shirikisheni makampuni ya events/ fundraising/ advertising wafanye bro bono.
ReplyDeleteakina Ras makunja nao wamo ! hawakosagi
ReplyDelete