Mkuu wa wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Mhe Senyi Ngaga kushoto akiangalia shehena ya mahindi ya chakula katika kikosi cha 842 Kj mlale Jkt jana,kulia ni mkuu wa kikosi hicho Meja Thomas Mpuku.
 Mkuu wa wilaya ya Mbinga Mhe Senyi Ngaga akikagua gwaride  wakati wa kufunga mafunzo ya vijana zaidi ya 1000  katika kikosi cha 842 Kj Mlale Jkt,kushoto ni mkuu wa gwaride ilo Capt Gerald William Rwenyagira.

 Mhe Ngaga akikagua kikosi cha Bendi.
 Vijana wakipita kwa mwendo wa haraka.
 Wakila kiapo. Picha na Muhidin Amri wa Globu ya Jamii, Songea

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. JAMANI MIMI NILIPITIA JKT MLALE MWAKA 1991 ENZI ZA MTONE,MMENIKUMBUSHA MBALI SANA.MDU LONDON.

    ReplyDelete
  2. Wale watuu, mmmh mlale ni kambi nzur sana Kwa mafunzo ya jkt....i enjoyed to be part of it!!! O.P kikwete 2015

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...