Hajjat Mwatumu Malale anasikitika kutangaza kifo cha Shangazi yake Rose Henrisch Sangiwa Mataji kilichotekea jana usiku huko Rochester, NY, Marekani.
Habari ziwafikie, Ukoo wote wakina Bakari Sangiwa Mtengeti Sangiwa Koshuma Sangiwa Kihama Sangiwa Athumani Sangiwa Henrisch Sangiwa ukoo wote wa kina Ngoma kwa Mdimu. Dr Twalib Ngoma Dr Mdimu Ngoma Ukoo wote wa Ngoma wa kwa Mdimu, pia kwa familia ya Rtd. Col. Julius Mataji wa Dodoma.
Ndugu wa marehemu watakutana
kwa bi Hajjat Mwatum Malale,
51 Mlingotini Close,
Regent Estate,
Kesho jumatatu 30 sept 2013 baada ya saa za kazi.
Wote mnakaribishwa.
Kwa simu piga na 0713317254 au 0752 345602
Lala salama shangazi mpendwa!
ReplyDeleteWapendwa ndugu zangu wa kina Mtengeti, na woote wahusika wa msiba huu poleni sana kumpoteza shangazi yetu Rose huko Amerika, Tunamuomba Mungu ampe pumziko la mielele na awape nguvu wafiwa wooote,
ReplyDelete