Mwanafunzi Benadetha Msigwa amepata upofu akiwa chuo, hivyo anapmba msaada pesa ili akatibiwe macho na kuweza kurudi katika hali yake, inahitaji kama milion 30 kwa yeyote atakaeguswa anaweza tuma chochote kupitia namba hizo hapo kwenye hicho kipeperushi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 21, 2016

    Pole sana Bernadetha kwa yaliyo kusibu. Hivi kweli hapo muhimbili hatuna specialist wa macho akamuona hyu binti kwa gharama zetu walipa kodi? Kuna kitendo cha macho kilichobobea vizuri tu hapo KCMC, Mvumi Hospital na CCBRT, to name just a few.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 22, 2016

    1: IJULIKANE KITAALAM NINI HASWA SABABU NA CHANZO CHA UPOFU ILI IWEZEKANE KUTIBIWA; JE WHY KICHWA KUUMA KILIKUWA TRIGGERED NA SABABU GANI?

    2: MADAKTARI BINGWA WAKAE KUSHAURIANA ISSUE YAKO NA KUJUA CHANZO KABLA HAWAJAANZA KUGUSA MACHO YAKO ILI ISIJE IKALETA MATATIZO MENGINE TOFAUTI ULIYONAYO.

    3: USHAURI UTOLEWE NI WAPI AKATIBIWE IWE NDANI YA NCHI AU NJE KWA KODI ZETU WATANZANIA MAANA WENGI TU TUNAWAPELEKA NJE KWA MATIBABU.

    4: MWISHO; MAISHA YANGU YOTE KIPINDI CHA ZAIDI YA 2 DECADES YALIKUWA NJE YA TANZANIA, NIMERUDI TZ NIKAKUTA KUNA VITU VYA KISHIRIKINA VINAFANYWA SANA NA WATU HADI NIKAOGOPA NA USIPOKUWA NA IMANI YA MUNGU KUPAMBANA NAVYO UNAWEZA UKAKIMBIA NCHI, HIVYO BASI NINGEOMBA UENDE UKAOMBEWE AU UFANYE CHOCHOTE KWA IMANI YAKO MAANA UENDA IKAWA NI MASWALA YA KISWAHILI YALIOANZA NA KUSIKIA KICHWA KINAUMA THEN UKAPATA UPOFU. NAJUA WATANZANIA HATUPENDI KUSEMA UKWELI ILA IMEBIDI NISEME TU UKWELI (MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU) CAUSE AFRIKA HAYA MAMBO YA KISWAHILI YANAFANYWA SANA NA IMANI YA MUNGU NDIO UMPONYA MTU. ASANTE

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 22, 2016

    Aende CCBRT kama ni ugonjwa wenye tiba atatibiwa

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 22, 2016

    Mtu kakaa mamtoni zaidi ya miaka ishirini lakini bado anaendekeza ushirikina na ndunga! kwenye sala tupo pamoja.
    A cystic teratoma tumour in the uterus, typically contains hair, teeth, skin and sometimes other organs. Mdau wa 2 decades ungesema mtu KALOGWA!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 23, 2016

    Inasikitisha sana pole sana BERNADETHA Mungu mkubwa utapona tu zidisha ibada kwa wingi na umtegemee yeye tu si vinginevyo atatia wepesi kila sehemu na utatibiwa na kurudi katika hali yako ya kawaida.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...