Home
Unlabelled
MWANACHUO BENADETHA MSIGWA ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA MACHO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Pole sana Bernadetha kwa yaliyo kusibu. Hivi kweli hapo muhimbili hatuna specialist wa macho akamuona hyu binti kwa gharama zetu walipa kodi? Kuna kitendo cha macho kilichobobea vizuri tu hapo KCMC, Mvumi Hospital na CCBRT, to name just a few.
ReplyDelete1: IJULIKANE KITAALAM NINI HASWA SABABU NA CHANZO CHA UPOFU ILI IWEZEKANE KUTIBIWA; JE WHY KICHWA KUUMA KILIKUWA TRIGGERED NA SABABU GANI?
ReplyDelete2: MADAKTARI BINGWA WAKAE KUSHAURIANA ISSUE YAKO NA KUJUA CHANZO KABLA HAWAJAANZA KUGUSA MACHO YAKO ILI ISIJE IKALETA MATATIZO MENGINE TOFAUTI ULIYONAYO.
3: USHAURI UTOLEWE NI WAPI AKATIBIWE IWE NDANI YA NCHI AU NJE KWA KODI ZETU WATANZANIA MAANA WENGI TU TUNAWAPELEKA NJE KWA MATIBABU.
4: MWISHO; MAISHA YANGU YOTE KIPINDI CHA ZAIDI YA 2 DECADES YALIKUWA NJE YA TANZANIA, NIMERUDI TZ NIKAKUTA KUNA VITU VYA KISHIRIKINA VINAFANYWA SANA NA WATU HADI NIKAOGOPA NA USIPOKUWA NA IMANI YA MUNGU KUPAMBANA NAVYO UNAWEZA UKAKIMBIA NCHI, HIVYO BASI NINGEOMBA UENDE UKAOMBEWE AU UFANYE CHOCHOTE KWA IMANI YAKO MAANA UENDA IKAWA NI MASWALA YA KISWAHILI YALIOANZA NA KUSIKIA KICHWA KINAUMA THEN UKAPATA UPOFU. NAJUA WATANZANIA HATUPENDI KUSEMA UKWELI ILA IMEBIDI NISEME TU UKWELI (MSEMA KWELI NI MPENZI WA MUNGU) CAUSE AFRIKA HAYA MAMBO YA KISWAHILI YANAFANYWA SANA NA IMANI YA MUNGU NDIO UMPONYA MTU. ASANTE
Aende CCBRT kama ni ugonjwa wenye tiba atatibiwa
ReplyDeleteMtu kakaa mamtoni zaidi ya miaka ishirini lakini bado anaendekeza ushirikina na ndunga! kwenye sala tupo pamoja.
ReplyDeleteA cystic teratoma tumour in the uterus, typically contains hair, teeth, skin and sometimes other organs. Mdau wa 2 decades ungesema mtu KALOGWA!
Inasikitisha sana pole sana BERNADETHA Mungu mkubwa utapona tu zidisha ibada kwa wingi na umtegemee yeye tu si vinginevyo atatia wepesi kila sehemu na utatibiwa na kurudi katika hali yako ya kawaida.
ReplyDelete