Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akionesha Hati ya Umiliki wa Ardhi (Kulia) na Hati ya Kielektronik ya Umiliki wa Ardhi ambayo imeanza kutolewa katika wilaya za Ubungo na Kinondoni Dar es Salaam wakati wa kikao na Mashirika, Taasisi na Makampuni yanayodaiwa Kodi ya Pango la Ardhi kilichofanyika leo tarehe 11 Juni 2019 katika ukumbi wa HAZINA Dodoma.
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizumgumza na wawakilishi wa Mashirika, Taasisi na Makampuni yanayodaiwa Kodi ya Ardhi  wakati wa kikao kilichofanyika leo tarehe 11 Juni 2019 katika ukumbi wa HAZINA Dodoma.
 Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizumgumza na wawakilishi wa Mashirika, Taasisi na Makampuni yanayodaiwa Kodi ya Ardhi  wakati wa kikao kilichofanyika leo tarehe 11 Juni 2019 katika ukumbi wa HAZINA Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi Dkt Angeline Mabula, wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu Dorothy Mwanyika na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Mathias Kabundugulu.


Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akizumgumza na wawakilishi wa Mashirika, Taasisi na Makampuni yanayodaiwa Kodi ya Ardhi  wakati wa kikao kilichofanyika leo tarehe 11 Juni 2019 katika ukumbi wa HAZINA Dodoma. Wa pili kushoto ni Naibu Waziri wa Ardhi Dkt Angeline Mabula, wa kwanza kulia ni Katibu Mkuu Dorothy Mwanyika na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Mathias Kabundugulu (PICHA ZOTE NA WIZARA YA ARDHI)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...