Baadhi ya Vifaa vipya vya Ujenzi
wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar vikiwa
katika eneo la Kibele Mkoa wa Kusini ambapo jumla ya Vifaa 15
vimenunuliwa kwa ajili ya kuimarisha na kujenga Barabara za Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ujenzi
Utunzaji Barabara (UUB)Ali Tahir Fatawi akitoa maelezo kwa Mawaziri na
Waandishi wa Habari katika Ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara
vilivyonunuliwa na Serikali huko Kibele pamoja na kuangalia daraja la
Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni
Zanzibar.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa
Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed akizungumza na Waandishi wa Habari
baada ya kuangalia Vifaa vipya Vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na
Serikali katika Ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya
Zanzibar kuangalia Vifaa hivyo huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa
Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwke na Skuli ya Sekondari ya
Ghorofa Fuoni Zanzibar.

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Sira Ubwa Mamboya akizungumza katika ziara maalum ya
Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya
Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali huko Kibele pamoja na
kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya
Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.

Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar
Abdalla Juma Mabodi akitoa neno la Shukrani kwa Serikali katika ziara
maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuangalia Vifaa
vipya vya Ujenzi wa Barabara vilivyonunuliwa na Serikali huko Kibele
pamoja na kuangalia Ujenzi wa Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe
na Skuli ya Sekondari ya Ghorofa Fuoni Zanzibar.

Hili ni Daraja la Kibondemzungu
lililotembelewa katika ziara maalum ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara
vilivyonunuliwa na Serikali huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa
Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya
Ghorofa Fuoni Zanzibar.

Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi
ya Zanzibar Wakipita chini ya Daraja la Kibondemzungu wakiwa katika
ziara maalum kuangalia Vifaa vipya vya Ujenzi wa Barabara
vilivyonunuliwa na Serikali huko Kibele pamoja na kuangalia Ujenzi wa
Daraja la Kibondemzungu na Mwanakwerekwe na Skuli ya Sekondari ya
Ghorofa Fuoni Zanzibar.



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...