
Mkuu wa Kitengo cha Habari wa Mwananchi Communications Limited (MCL), Frank Sanga, Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Francis Nanai, Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo na Meneja Masoko wa MCL, Sarah Munema wakiwa katika waliazindua promosheni ya Shinda Mchongo wa Mwanaspoti ilifanyika leo jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited (MCL), Francis Nanai, akionesha gazeti la Mwanaspoti katika uzinduzi wa promosheni ya Shinda Mchongo wa Mwanaspoti leo jijini Dar es Salaam.

Afisa Mwandamizi wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Jehud Ngolo kushoto akizungumza mara baada ya kuzinduzi promosheni ya Shinda Mchongo wa Mwanaspoti ilifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...