Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Usalama na
Maadili kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Chama hicho Lumumba jijini Dar es
Salaam. Februari 12, 2020.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi
CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya
Chama cha Mapinduzi (CC) kilichofanyika katika Ofisi ndogo za Chama hicho
Lumumba jijini Dar es Salaam. Februari 12, 2020.PICHA
NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...