Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akiongoza kikao
cha Baraza la Wafanyakazi kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango
wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika
leo katika Ukumbi wa Kituo cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Baraza
la Wafanyakazi la Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala
Bora wakimsikiliza Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma,
Dkt. Laurean Ndumbaro (hayupo pichani) wakati akiongoza kikao hicho kujadili
taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20 na
Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo
cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Mkurugenzi wa Idara ya
Mipango, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw.
Cosmas Ngangaji akiwasilisha taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa
Bajeti wa Mwaka 2019/20 na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kwenye Kikao cha
Baraza la Wafanyakazi la ofisi hiyo kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo
cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais,
Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati) akitoa
ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi cha
kujadili taarifa ya Mapitio ya Utekelezaji wa Mpango wa Bajeti wa Mwaka 2019/20
na Mpango wa Bajeti kwa Mwaka 2020/21 kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Kituo
cha Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa jijini Dodoma.James katubuka Mwanamyoto,Afisa Habari-UTUMISHI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...