Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiteta jambo na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania Ndugu Gaudentia Kabaka wakati wa Ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la UWT leo tarehe 15 Juni, 2022, Dodoma.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania leo katika Ukumbi wa White House, CCM Makao Makuu Dodoma.
Sehemu ya Wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu la Umoja wa Wanawake Tanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...